Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Watu wapo wanajirusha tu saiz huko wa club wengine bar ndio maisha kufurahi tu hakuna kingine.
Watu wapo wanajirusha tu saiz huko wa club wengine bar ndio maisha kufurahi tu hakuna kingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] Unadhani Nina huo ujanja wa kuandika Uzi wa patina..[emoji23][emoji23] thubutu yangu.[emoji23][emoji23][emoji23] ww kazi yako tayarisha tu huo waraka.
Chakushangaza wewe upo lindoni.Watu wapo wanajirusha tu saiz huko wa club wengine bar ndio maisha kufurahi tu hakuna kingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani kina shindikana nn mbona wengine wanafungua tu tatizo liko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23] Unadhani Nina huo ujanja wa kuandika Uzi wa patina..[emoji23][emoji23] thubutu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaachaga hayo maisha toka 2014 sijakanyaga club wala kiwanja chochote chenye show za music kama mafiesta au wasafi hizi nimeacha nasijikirudi tena huko.
[emoji23][emoji23]tatizo Mimi siwezi[emoji23][emoji23][emoji23] kwani kina shindikana nn mbona wengine wanafungua tu tatizo liko wapi?
Usione aibu we bandika tu hilo bango hapo kesho watu wauwane hapo [emoji23]
Usiku mwema mkuuUsiku mwema Guy's
yna2 kuna kitu nimekutumia pm kama utaweza nisaidi haya utanijibu ukishindwa basi..
Unatafuta cha asubh05:00
Kinini hicho cha asubuhi?Unatafuta cha asubh
Kile cha kikubwa kinachokupa raha na kusahau shida za dunia kwa mudaKinini hicho cha asubuhi?
Inabidi liwepo na jukwaa la jf mchana wa masaba[emoji28]Aah rest tena mzee wangu dah mshahara wako mwezi huu ukiwa 1500 usishangae kabisa
Same to you hommie sleep well [emoji109].