Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chakula kilichobaki ulichokula saa 2 au 3 saiz sikipolo hiko tena.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chakula kilichobaki ulichokula saa 2 au 3 saiz sikipolo hiko tena.
Unamuda gani unaishi na hii hali ya kukata usingi?Sasa mbona Mimi sishtukishtuki..usingizi unakata tu mara moja Kisha baada ya muda kidogo nalala tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wajua nimesahau Kama tuko siku ya pili..mwe mweh mweeh..uzee huu.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chakula kilichobaki ulichokula saa 2 au 3 saiz sikipolo hiko tena.
[emoji23][emoji23][emoji23] Ooh angalia usije ukaamsha walio lala huko ukapata kibarua cha kuwabembeleza saiz.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua nifurahisha kweli tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama week mbili hiviUnamuda gani unaishi na hii hali ya kukata usingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelala we ulivyoamka unajua muda bado ndio ule ule saa 4 au saa 5 hii.Hivi wajua nimesahau Kama tuko siku ya pili..mwe mweh mweeh..uzee huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Nani abembeleze..!! Mwenyewe nataka bembelezwa nipate usingizi ..eti[emoji23][emoji23][emoji23] Ooh angalia usije ukaamsha walio lala huko ukapata kibarua cha kuwabembeleza saiz.
We yna2 mi sijalala mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] uzee unautolea wapi ww bado kijana kabisa unategemewa bado ni nguvu ya taifa ww.Hivi wajua nimesahau Kama tuko siku ya pili..mwe mweh mweeh..uzee huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani najua bado saa tano kumbe saa kumi kasoro..ila mbona we hulali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelala we ulivyoamka unajua muda bado ndio ule ule saa 4 au saa 5 hii.
[emoji23][emoji23] kwakweli nimejitahidi mnoWe yna2 mi sijalala mkuu
naona leo umejitahidi kukamata lindo kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani mwenye jukumu lake siyuko pembeni hapo anakoroma tu saiz hapo.[emoji23][emoji23][emoji23] Nani abembeleze..!! Mwenyewe nataka bembelezwa nipate usingizi ..eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilala na mm napiga zangu ibada ndio nalala.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani najua bado saa tano kumbe saa kumi kasoro..ila mbona we hulali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa pembeni unadhani hata lindoni ungeniona ..!! Thubutuuu Yani yeye alale Mimi nikeshe..Nani kasema.[emoji23][emoji23][emoji23] kwani mwenye jukumu lake siyuko pembeni hapo anakoroma tu saiz hapo.
[emoji15] hayupo ameenda wapi sasa?Angekuwa pembeni unadhani hata lindoni ungeniona ..!! Thubutuuu Yani yeye alale Mimi nikeshe..Nani kasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda si mrefu natoka lindoni . Kisimu changu kinakata Moto dk chache zijazo..najionea hurumaUkilala na mm napiga zangu ibada ndio nalala.
[emoji23][emoji23] Mimi mwenyewe hata sijui alipoenda eti[emoji15] hayupo ameenda wapi sasa?
Unajionea huruma ya nn tena? Usiku wote huu.Muda si mrefu natoka lindoni . Kisimu changu kinakata Moto dk chache zijazo..najionea huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] basi usijali mpaka Valentine's utakuwa umeshampata.
Jinsi nitakavyoburuzika na shuka..maana usingizi Sina simu inazima Moto..embu nifanyie maombi nipate lala mwenzioUnajionea huruma ya nn tena? Usiku wote huu.