JamiiForums Usiku wa manane
Tatizo hilo unatakiwa ujenge msingi wa imani yako sasa utakuwa unaombewa mpaka lini? Unatakiwa ujifunze kujisimamia na ww kwenye maombi yako.
Hivi unadhani wanawake hatujiombei..??!! Tunajiombea na kusimama wenyewe tunaweza ..ila tuna amini pia hata mtu mwingine anaweza kukushirikisha kwenye maombi na yakapokelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom