sawa mkuu tupo pamojaSafi huo ndio mwendo wa kikubwa unaonesha ukongwe kwenye tasinia.
saa 10 alfajiri tu hapo nitakuwa nishaanza kutepeta.
Aah rest tena mzee wangu dah mshahara wako mwezi huu ukiwa 1500 usishangae kabisaNishatimiza wajibu mrest in peace [emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
sawa ila usije ukalala tuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] natania bwana..Sasa si unaona umecheka ..ungecheka saa ngapiUnampoteza [emoji23][emoji23] haiwezekani unaumwa malaria ww ukampa dawa ya typhoid.
Kunywa kahawa kabisa ukomeshe tatizo?Huo mda hata mie nakuwaga hoi sana aiseee sema ni kujikaza tu mixer kusinzia kwa sana.
Bakisha 5000 ya supu lakini.sawa mkuu tupo pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza mpoteza mtu kimasihara ujue anajua msahada kumbe ndio umeleta mabalaa.[emoji23] natania bwana..Sasa si unaona umecheka ..ungecheka saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kabisa mtu mwenye akili timamu anaweza chukua huo ushauri jamani..atakuwa hayuko serious na tatizo lake..kweli tena[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza mpoteza mtu kimasihara ujue anajua msahada kumbe ndio umeleta mabalaa.
Ooh Sio watu wote wanajua vitu eti ndio maana [emoji4] kaingia na gia ya kuomba ushauli eti.Hivi kabisa mtu mwenye akili timamu anaweza chukua huo ushauri jamani..atakuwa hayuko serious na tatizo lake..kweli tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah jamaa ni mweusi hatari [emoji23][emoji23][emoji23] kaweka na sura ya kazi kabisa [emoji119]Nduna
Aka kuryaaman,commando int 17/99,cpl, Mp.. View attachment 1350212
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umedhamilia kufunga lindo nn maana muda kama huu unakuwa umeshalala ww.