Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Heeh! Kumbee..asiufuate aisee..asije shindwa lala bure.Ooh Sio watu wote wanajua vitu eti ndio maana [emoji4] kaingia na gia ya kuomba ushauli eti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeh! Kumbee..asiufuate aisee..asije shindwa lala bure.Ooh Sio watu wote wanajua vitu eti ndio maana [emoji4] kaingia na gia ya kuomba ushauli eti.
[emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje.!! usingizi Kama kawaida umekata..hapa kuupata usingizi hadi kumi na mojaLeo umedhamilia kufunga lindo nn maana muda kama huu unakuwa umeshalala ww.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ww ni muoga hivyo? Atakuwa Kashalala huyo saiz muda wote huo angeshakujibi teyari mbona.
Usingizi wako wamateso sana unalala alafu unakata inaonekana unakuwa na mawazo wengi sana kichwani mwako hulali ukiwa comfortable ww?[emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje.!! usingizi Kama kawaida umekata..hapa kuupata usingizi hadi kumi na moja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata si muoga eti..ni vile tu najali afya za wengine[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ww ni muoga hivyo? Atakuwa Kashalala huyo saiz muda wote huo angeshakujibi teyari mbona.
[emoji23][emoji23][emoji23] hayupo China yule. Kachoka huko halipo angeshaonekana maana kwao ni USA saiz ni saa 12 jioni.Mr.chinese food leo sijamuona..sijui Corona imeshafanya kazi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] hamna bwana Sina mawazo kiivyo..ila hutokea Mara moja moja kukatika kwa usingizi.Usingizi wako wamateso sana unalala alafu unakata inaonekana unakuwa na mawazo wengi sana kichwani mwako hulali ukiwa comfortable ww?
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuniongopea usiku wote huu wakati nimeona tu ulivyo shituka baadaya kukutisha kidogo tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata si muoga eti..ni vile tu najali afya za wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijuaga yu China eti..dunia bwana.wengine tunastruggle na usingizi mwenzetu ndiyo kwanza giza laingia.[emoji23][emoji23][emoji23] hayupo China yule. Kachoka huko halipo angeshaonekana maana kwao ni USA saiz ni saa 12 jioni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi uongo huwa na wakati eeh!! Sijaogopa wewe[emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuniongopea usiku wote huu wakati nimeona tu ulivyo shituka baadaya kukutisha kidogo tu.
Kukiwa na kitu kichwani kinasumbua huwezi kulala kwa raha unalala huku unashitushituka.[emoji23][emoji23] hamna bwana Sina mawazo kiivyo..ila hutokea Mara moja moja kukatika kwa usingizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijuaga yu China eti..dunia bwana.wengine tunastruggle na usingizi mwenzetu ndiyo kwanza giza laingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kiporo usiku huu??[emoji23][emoji23][emoji23] saiz hata kuanza kuangaika chakula cha usiku bado muda kwao huko ss huku teyari tuko na vipolo vyetu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Ee muda kama huu uwongo unatakiwa uwe kidogo sana kushinda mchana maana mchana ndio unanoga nakunoga mfano ukiwa karibu hata na shosti yako jirani pale mnaweza hata kugonga mikononi lakini saiz huwezi maana watu wamelala ukigonga unaamsha watu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi uongo huwa na wakati eeh!! Sijaogopa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Ee muda kama huu uwongo unatakiwa uwe kidogo sana kushinda mchana maana mchana ndio unanoga nakunoga mfano ukiwa karibu hata na shosti yako jirani pale mnaweza hata kugonga mikononi lakini saiz huwezi maana watu wamelala ukigonga unaamsha watu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi uongo huwa na wakati eeh!! Sijaogopa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua nifurahisha kweli tena[emoji23][emoji23][emoji23] Ee muda kama huu uwongo unatakiwa uwe kidogo sana kushinda mchana maana mchana ndio unanoga nakunoga mfano ukiwa karibu hata na shosti yako jirani pale mnaweza hata kugonga mikononi lakini saiz huwezi maana watu wamelala ukigonga unaamsha watu.