Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Hiyo kubeba kwake sio mchezo unaweza lalamika nja baadaye hapo.Mie Niko na Sub Machine Gun[emoji123]
Sent using OPPO Mobile Phone
Hiyo kubeba kwake sio mchezo unaweza lalamika nja baadaye hapo.Mie Niko na Sub Machine Gun[emoji123]
Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hilo ujue.ujawahi ambiwa tufanye ila kwa siri [emoji2][emoji2][emoji2]
Umefungua lindo alafu umekimbia saiz ndio unarudi kwa kuchungulia [emoji4][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
hiyo ndio michezo ya siri sasa[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hilo ujue.
mchezo ambao unaongoza kuwa na mashabiki wengi huo.hiyo ndio michezo ya siri sasa
Karibu chukua [emoji363] hiyo itakusaidia kumulika mulika lindoni hapa.Walinzi wenzangu nipo lindoni.
sawa ila mwenzetu unalinda nini coz mimi namlinda boss na mkeweWalinzi wenzangu nipo lindoni.
hahah sasa tumeelewana mkuu ngoja nipige funda moja la ziadamchezo ambao unaongoza kuwa na mashabiki wengi huo.
Karibu chukua [emoji363] hiyo itakusaidia kumulika mulika lindoni hapa.
sawa ila mwenzetu unalinda nini coz mimi namlinda boss na mkewe
[emoji23][emoji23] upo jirani na nyumbani lakini usije ukawa unapiga alafu ukaenda kudrive ikawa hatari zaidi kwako?hahah sasa tumeelewana mkuu ngoja nipige funda moja la ziada
sawa ila usije ukalala tuhMimi nawalinda watoto wa boss wako.
saa 10 alfajiri tu hapo nitakuwa nishaanza kutepeta.Mkuu zamu yako inaisha saa ngapi? Mimi inaisha saa 2 asubuhi. Tupeane kampani tusisinzie tukapoteza kibarua.
nipo maskani[emoji23][emoji23] upo jirani na nyumbani lakini usije ukawa unapiga alafu ukaenda kudrive ikawa hatari zaidi kwako?
Kama upo hapo ww piga vitu tu mpaka monie vikiisha ntatuma gari wavilete hapo.nipo maskani
sawa mkuu ila naenda speed ndogo ili vinisogeze hta saa 11Kama upo hapo ww piga vitu tu mpaka monie vikiisha ntatuma gari wavilete hapo.
Safi huo ndio mwendo wa kikubwa unaonesha ukongwe kwenye tasinia.sawa mkuu ila naenda speed ndogo ili vinisogeze hta saa 11
Ajaribu aone[emoji23][emoji23] achana na hizo methali na nahau za wahenga siku hizi hazifanyikazi kabisa unampoteza mwenzio kwa ushauli huu.
Unampoteza [emoji23][emoji23] haiwezekani unaumwa malaria ww ukampa dawa ya typhoid.