Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Njoo PM niirekebishe akili mtoto mrembo mwenye kasoro moja tu ambayo ni urembo wako.
duh sawa mkuu ila naimani utakuwa mtumishi kama mwamposa[emoji23][emoji23][emoji23] hapana sigusi kabisa kitu chenye alcohol mdomo wangu unataka vitu vya sukari tu.
Vyema..zakwenda fresh tu.. alhamdulillahNiko okay, mishe za maisha zinakwendaje?
zima simu, zima taa, jifunike shuka kuanzia miguuni hadi kichwani na fumba macho kisha waza yale mazuri uliyofanya leo.
[emoji4][emoji4] hapana nipo 50-50 ni misimamo tu unajiwekea tu mtu kuwa kitu fulani sivutiwi nacho tu hapa nilipo kuna wine nyingi tu lakini sijagusa hata moja.duh sawa mkuu ila naimani utakuwa mtumishi kama mwamposa
[emoji15][emoji15] sindio unamfanya akeshe kabisa [emoji4] akinywa hiyo!
Vzr kama kila kitu gud kinaenda.
sawa mkuu ila najua utakuwa na starehe tuh ila ni ya siri[emoji4][emoji4] hapana nipo 50-50 ni misimamo tu unajiwekea tu mtu kuwa kitu fulani sivutiwi nacho tu hapa nilipo kuna wine nyingi tu lakini sijagusa hata moja.
Hii njia sijawahi jaribu kabisa ajaribu lakini anaweza akafanikiwa.zima simu, zima taa, jifunike shuka kuanzia miguuni hadi kichwani na fumba macho kisha waza yale mazuri uliyofanya leo.
shukrani utanipa kesho ukiamka
[emoji4] ipi hiyo starehe ya siri hapa duniani?sawa mkuu ila najua utakuwa na starehe tuh ila ni ya siri
zipo starehe za siri japo zinajulikana[emoji4] ipi hiyo starehe ya siri hapa duniani?
[emoji23][emoji23][emoji23] duniani kuna vitu vya siri dhama hizi kweli maana mambo yapo hadharani tu siku hizi.zipo starehe za siri japo zinajulikana
Dawa ya Moto.. Moto[emoji15][emoji15] sindio unamfanya akeshe kabisa [emoji4] akinywa hiyo!
[emoji28][emoji28][emoji28]Leo weekend umefunguliwa. Shika zamu wengine tulale
[emoji23][emoji23] achana na hizo methali na nahau za wahenga siku hizi hazifanyikazi kabisa unampoteza mwenzio kwa ushauli huu.
Mie Niko na Sub Machine Gun[emoji123]Basi tulia leo huku umeingia kwa walinzi humu kuna AK 47,M16,M24,M41,Micro uzi shot gun, sniper raifle unachagua ipi hapo.
ujawahi ambiwa tufanye ila kwa siri 😃😃😃[emoji23][emoji23][emoji23] duniani kuna vitu vya siri dhama hizi kweli maana mambo yapo hadharani tu siku hizi.