JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

.
IMG-20200207-WA0335.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa ukiwa chepo unatulia tu. Kwanza sijawahi letewa ua mimi
Aah acha nikucheke kwanza [emoji23][emoji23] baba ako nilipewa mara moja tu na card nikiwa sec kwahali hii iliopo sasa sijui kama hv vitu bado vipo haya wanaweza wenyewe wazungu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hayo mambo nishasahau..
 
Ee kuna mwana alikuwa ndio bishoo wa kitaa chetu aah jamaa alikuwa anapewa card yule ukifuna godolo lake unaweza sema ni stationary [emoji23][emoji23] jinsi card na mauwa yalivyo jaa.
 
alikuwa player.. kadi kadi at least ila maua hapana asee
 
Back
Top Bottom