Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,961
SAA 1:53am
0200 EATSAA 1:53am
Nipo wengine washasalenda huko.Nyie walinzi shirikishi mko
Aaghh wapi!!!!Nipo wengine washasalenda huko.
Hiyo Radio safina niya mkoa gani?Leo naksha kwenye maombi tu na Radio Safina. Lindo linazidi kunoga!
ArushaHiyo Radio safina niya mkoa gani?
mm niko na movie tu hapa.
Arusha kiongozi.Hiyo Radio safina niya mkoa gani?
mm niko na movie tu hapa.
Leo weekend umefunguliwa. Shika zamu wengine tulaleJukwaa limekimbiwa, mnakwama wapi wakuu? Mpo guard Nyarugusu au Nduta
Sent using OPPO Mobile Phone
Kwahiyo ulikuwa mkesha siku hiyo hapo?Arusha kiongozi.
Waliowahi kufanya mkutano wao x2 karibu na eneo tunaloishi..tulikoma, sio kwa fujo zile