Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
[emoji23][emoji23] acha uogaUnataka kuniachia msala. Afadhali angekuwa single [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] nikutakie muda mwema..nasinzia hapa hatari.
Yaani hunipi hata muwa wa kukubembeleza ili ulale kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23] nikutakie muda mwema..nasinzia hapa hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho nitakupa muda..unajua Raha ya kubembelezwa macho yawe makavu..ivyo unabembeleza hadi muhusika anapata usingizi..kwa hali niliyonayo haiitaji hata kubembelezwa.
Naisubiri hiyo kesho kwa hamu. Nitakuimbia nyimbo zote hadi ulale. Lala salama.Kesho nitakupa muda..unajua Raha ya kubembelezwa macho yawe makavu..ivyo unabembeleza hadi muhusika anapata usingizi..kwa hali niliyonayo haiitaji hata kubembelezwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo ...
Avatar za yna2 zanichekesha sana
Za kunipotea...Maisha mafupi...furahia
Roll call