Tshala
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 281
- 110
Maybe.. maana alinipa hai. Hajarudi tena
Nzuri. Mbona umetususa kundini hapa
I do..Amini hivyo
Nazurura kusoma news, but nipo.Nzuri. Mbona umetususa kundini hapa
Sikiliza Hard drugs au Each Day.. uko bomba..
Vidole vimezeeka ku type nn?
Ngoja nisikilize.Sikiliza Hard drugs au Each Day.. uko bomba..
Sikiliza kamanda.. ninazo nyimbo zake zote huyo mwamba. Ziko poaNgoja nisikilize.
Karibu sana.Nakuona
Anawezaje kuendesha hiki kichwa Hamida?Leo kichwa kizito na Super Villain leo kakamatwa na hamida gani sijui




Leo nimevamia lindo!


