Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ikitokea umezamisha sasa unafanyaje mkubwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawazai hovyo hadi mkubaliane jama pia mna uwezo wa kulea na kusomesha. Huku maisha ni ghali sana mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app