Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Duh, mzee fanya mkakati yakinifu upate wa kukuondolea baridi hasa kipiñdi hiki cha mvua za daslam
Aah mzee wangu hiki kichwa ni chakuku saiz [emoji23] kina mambo mengi nikiaza kubebesha na mapenzi ni tadata tu huku usizani unadate na mzungu mzee wangu huku ni balaa tupu.Duh, mzee fanya mkakati yakinifu upate wa kukuondolea baridi hasa kipiñdi hiki cha mvua za daslam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelelzo yako naweza kuconclude ile invention ya mng'ato uko kwenye majaribio ili mwisho wa siku tutafute mikoa kadhaa kwenda ku scale out.Aah mzee wangu hiki kichwa ni chakuku saiz kina mambo mengi nikiaza kubebesha na mapenzi ni tadata tu huku usizani unadate na mzungu mzee wangu huku ni balaa tupu.
Lakini na wewe si ndio unamsupport kwa wana dsm? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. More than a year, you kidding me.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] saiz yupo kwenye tour zake huko akiwa kama ambassador wa tz anafanya projects zake huko..
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm serious dude nakaribia 1 year sasa lakini siko ndani ya mpango wa projects ya mng'ato [emoji23][emoji23][emoji23]Lakini na wewe si ndio unamsupport kwa wana dsm? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. More than a year, you kidding me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni nani hasa hadi nipingane na utetezi wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwa maana hiyo huwezi kuhandle relationship na majukumu mengine at once?I'm serious dude nakaribia 1 year sasa lakini siko ndani ya mpango wa projects ya mng'ato [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kwenye break fupi mzee wangu.Mimi ni nani hasa hadi nipingane na utetezi wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwa maana hiyo huwezi kuhandle relationship na majukumu mengine at once?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unacho waza naweza vp kucope hii hali na environment na nahandle vp ndani ya mwaka 1 [emoji23].Mimi ni nani hasa hadi nipingane na utetezi wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwa maana hiyo huwezi kuhandle relationship na majukumu mengine at once?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana [emoji1430] sijafika huko unakonifikiria mkuuNajua unacho waza naweza vp kucope hii hali na environment na nahandle vp ndani ya mwaka 1 [emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu kuna joto huko kwani au ww nimmoja wa wale watu wanaopenda usingizi wa mvua?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawazai hovyo hadi mkubaliane jama pia mna uwezo wa kulea na kusomesha. Huku maisha ni ghali sana mkubwa.