JamiiForums Usiku wa manane
Hiyo sheria ilikuwa haki sawa wtt kufanya kazi zote hakuna sijui hii yakike hii ya kiume mm mabro zangu wote wanajua kupika kuna time mom hayupo wao ndio wanasababisha jikoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muhimu sana kujua baadhi ya majukumu. Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa wenzenu wanapika na kupakuwa mahotelini huko itakuwa ninyi. Huwa sisahau hiyo sentence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom