Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23][emoji23] natania tu mauno nawezea wapi mm mpenda Hip Hop.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] natania tu mauno nawezea wapi mm mpenda Hip Hop.
Mshana mzee wa bata tu yule.[emoji23][emoji23] ingekuwa hivyo ningechat hadi saa hii. Muulize mshana tunaochat saa hii tuna tabia gani
Halafu anataka kutudis kiaina. Usikute alipokuja ndio mtanange ulikuwa half time. Hivyo keshapasha na anaingia second round.
Eti upo half time[emoji23][emoji23] ingekuwa hivyo ningechat hadi saa hii. Muulize mshana tunaochat saa hii tuna tabia gani
Ee nimpikie nani sasa mm [emoji23][emoji23] kuna mtu anapenda chakula kilichoungua maana naunguza hatari.
Nimeweka wapi yangu mzee? Ila zangu nyingi sana hasa kule selfikawe jana umeweka yako kisha ukaifuta [emoji23][emoji23] anzeni zenu kwanza hapo ww na simiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mzee wangu saiz game round 2 kinawaka tena hapo soon.Halafu anataka kutudis kiaina. Usikute alipokuja ndio mtanange ulikuwa half time. Hivyo keshapasha na anaingia second round.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tutajuaje sasa[emoji23][emoji23][emoji23] natania tu mauno nawezea wapi mm mpenda Hip Hop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dondosha na humu usiku wa manane sasa.Nimeweka wapi yangu mzee? Ila zangu nyingi sana hasa kule selfika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa unavyo tuchanganyia habari. Huko umeandika wewe ndio fundi wa madikodiko, now unakanusha eti unaunguza misosi. Nitamuuliza Hamida ndio atasema ukweliEe nimpikie nani sasa mm [emoji23][emoji23] kuna mtu anapenda chakula kilichoungua maana naunguza hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natania Ila kupika honest napenda na huwa napika sana tu mm sio mvivu kwenye hilo swala na sometimes hata mom alikuwa akiwa busy mm napika.Ona sasa unavyo tuchanganyia habari. Huko umeandika wewe ndio fundi wa madikodiko, now unakanusha eti unaunguza misosi. Nitamuuliza Hamida ndio atasema ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hakuna wananchi huku wa kuona picha?
simiss kasikia mambo ya kutuma picha mbio [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nikija Moro nitakuja kula msosi wakoNatania Ila kupika honest napenda na huwa napika sana tu mm sio mvivu kwenye hilo swala na sometimes hata mom alikuwa akiwa busy mm napika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapo (kwa herufi kubwa) hope umenielewa.[emoji23][emoji23][emoji23] kwani hakuna wananchi huku wa kuona picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kwenye mtanange na Hamida wakesimiss kasikia mambo ya kutuma picha mbio [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dar saiz njoo na ww unipe maujuzi ya huko misandwich hiyo nk..
[emoji23][emoji23][emoji23] nilikuelewa kitambo sana tu toka post ya kwanza ulivyosema huku huwezi kupost.