JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanza
Plan ya jengo itakavyo kuwa
Kisha survey anakuja anaangalia eneo alafu ndio vitu vingine vinafuata sasa ilikuwa vp hakika na mm majibu nakosa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kubishana na mainginia wa jiji sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na mm huwa najiuliza swali kama lako hivyo hivyo na majibu nakosa maana huwa najua sehemu kama hile kabla hapajengwa inaanza
Plan ya jengo itakavyo kuwa
Kisha survey anakuja anaangalia eneo alafu ndio vitu vingine vinafuata sasa ilikuwa vp hakika na mm majibu nakosa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo bado hujapita mfugale, mvua ikinyesha lazma maji yajazane. Kiukweli wabongo kwenye planning hatupo fresh
 
umekutana na mwenzio wote mnapenda menu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
. ilifika kipindi nikaanza kupata dalili za ulcers ndo nikashtuka, yaani at least saa hii nazingatia ratiba.

Wife to be namuhurumia maana itabidi awe creative pande hii na asiwe na mkono average jikoni
 
Bongo maengineer wengi feki tu hakuna kitu nandio maana tenda wanapeana kindugu ndio kazi zinakuwa hv mbovu tu mara ya mwisho niko posta nikasema ngoja nipitie na kivukoni nikachukue vitu flani hv njia mbovu tu hadi mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Posta ni kisanga bro..ikinyesha mvua huwezi sema ni city center. Drainage system ni hovyo plus parking space ni haba. Better dodoma move na kukua kwa kijitonyama kunapunguza jam
 
[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
. ilifika kipindi nikaanza kupata dalili za ulcers ndo nikashtuka, yaani at least saa hii nazingatia ratiba.

Wife to be namuhurumia maana itabidi awe creative pande hii na asiwe na mkono average jikoni
Wewe uko njema jikoni ili kama hayupo njema umfumdishe mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16] kiukweli bro sina hobby ya vyakula sana na nikiwa na kitu cha kufanya huwa siwazi unless njaa iniume sana
. ilifika kipindi nikaanza kupata dalili za ulcers ndo nikashtuka, yaani at least saa hii nazingatia ratiba.

Wife to be namuhurumia maana itabidi awe creative pande hii na asiwe na mkono average jikoni
Utabadilika tu mwanamke mchezo utapettypettiwa mpaka utakuwa unakula vzr tu subiria ukija kuoa uwone mwenendo kama hauja badilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom