Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
OkyNitashukuru sana
Man of steel
Batman Dawn of justice
Dark knight
Dark Knight rises
Batman Begins
Super man za 2000 mpaka 2010.. zile ambazo hakucheza Henry Carvil.
OkyNitashukuru sana
Man of steel
Batman Dawn of justice
Dark knight
Dark Knight rises
Batman Begins
Super man za 2000 mpaka 2010.. zile ambazo hakucheza Henry Carvil.
Kama miaka 3 hivi. Ila sikai sehemu moja kutoka na nature ya mishe zangu.Hapo maandishi matatu unamuda gani umekaa?
Unahandle vp hizi situation za racism na maneno yao ya kejeli Negro, Nigger nk..?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa sijawahi kuacha kupenda upuuzi na masihala kabisa mnafurahisha sana wana.Mzee umetisha. Nzi wanatumikaje kwenye hilo zoezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na sasa hivi umegundua nini ambacho ndio kifaa kipya kufanikisha game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama dada hali yakoZa kwako mdada?
Haswaa, bado mmoja nifunge hesabu.
Mzee maisha ni full of funny[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanichekesha sana upuuzi wenu ni wakiwango cha lami kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Next week kama ratiba itakuwa vzr nitaingia Google Map niangalie Chinese Restaurant.
Sent using Jamii Forums mobile app
10 days after nazifuata..
Lakini racism sio kubwa sana kama siku za nyuma huko?Kama miaka 3 hivi. Ila sikai sehemu moja kutoka na nature ya mishe zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi upo uelekezweNext week kama ratiba itakuwa vzr nitaingia Google Map niangalie Chinese Restaurant.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa nimemkubali coz yupo muwazi. Ananyetuka bila shida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa sijawahi kuacha kupenda upuuzi na masihala kabisa mnafurahisha sana wana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanichekesha sana upuuzi wenu ni wakiwango cha lami kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] tafuta tafuta unaweza ninyakulia.Haswaa, bado mmoja nifunge hesabu.
Ni muhimu sana kuwa makini unapokula chakula cha kichina. Hakikisha unaagiza kitu unachokijua mzee.Nilienda ya pale Arusha na chalii mmoja alikua ametoka military training huko Asia akawa anaulizia supu ya konokono(China Style snail soup) daah nikamcheki tu nikasema hiiiiiiiiiiiii mi natangulia nazi(Restaurant) kunywa chai Jomba.
dodge
China bhana kama ukiwa mroho wa nyama unatakiwa uwemakini sana [emoji23][emoji23]Nilienda ya pale Arusha na chalii mmoja alikua ametoka military training huko Asia akawa anaulizia supu ya konokono(China Style snail soup) daah nikamcheki tu nikasema hiiiiiiiiiiiii mi natangulia nazi(Restaurant) kunywa chai Jomba.
dodge
Mzee umetisha. Nzi wanatumikaje kwenye hilo zoezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na sasa hivi umegundua nini ambacho ndio kifaa kipya kufanikisha game.
Sent using Jamii Forums mobile app