Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Does this method worthy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah daah mzee sijui hata ule mwiba wa nyuki utawezaje kuutoa pale kwny fasi ya dwasi.
Na ukitoka hapo lazima machine iwe na mabonde mabonde/manundu kama zile barabara za TARURA.
dodge
Wanasema weka mbali na wana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh hii meme ni hatari mno kiafya [emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] chairman huyo.Na handouts anagawa ukafanye practical mwenyewe. Sio mbinafsi teacher. Inawezekana huyu jamaa ndio chair wa chaputa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sio fair kwani hiki ndio kipimo cha kazi au kiwango?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitakuandikia pmWw taja hizo 10 days iwe weekend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah aisee sijawahi kunatana na huu upuuzi wenu dah nimecheka mno.
sasa unamfukuza kazi kwa kosa lipi hapo utendaji wakazi mbovu au nn?Hahah aliaibisha ofisi mzee baba(labda iliangukia kwny abuse/misuse of office resources)
How?
I don't know wkt kitendea kazi ni mali yake.
dodge
Afadhali angeenda hata toilet akapiga self yale akimaliza anarudi kwa ofisi akiwa mwepesi kabisa.Hahah aliaibisha ofisi mzee baba(labda iliangukia kwny abuse/misuse of office resources)
How?
I don't know wkt kitendea kazi ni mali yake.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiki chama hapana mzee wangu [emoji119] senior kama ndio huyu loh [emoji23][emoji23][emoji23]
Na handouts anagawa ukafanye practical mwenyewe. Sio mbinafsi teacher. Inawezekana huyu jamaa ndio chair wa chaputa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah aisee sijawahi kunatana na huu upuuzi wenu dah nimecheka mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule mchanganyo wa mayai na viazi sijui nani alikuwa founder kwakweli maana katuletea janga hakika.Hahah daah am sure mkuu,the only ambayo Bongo tume-invent hapa duniani na ilitakiwa tuwe na hatimiliki/patent yake ni Chips mayai.
Popote pale duniani(nje ya TZ) utakapokuta wanauza Chips mayai jua kuna mbongo hapo anahusika na hio kitu.
Niko serioua kwny hili wakuu.
dodge
Mkuu nakushauri ukaisajili COSOTA tusijepoteza innovation zetu kama kwa chipsi yai.Hahah daah am not sure mkuu,bt the only thing ambayo Bongo tume-invent hapa duniani na ilitakiwa tuwe na hatimiliki/patent yake ni Chips mayai.
Popote pale duniani(nje ya TZ) utakapokuta wanauza Chips mayai jua kuna mbongo hapo anahusika na hio kitu.
Niko serioua kwny hili wakuu.
dodge