Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Nzuri, nimefurahi kukuona hapa tena.
Salama dada hali yako
Salama dada hali yako
[emoji23][emoji23][emoji23] anatoa na course kabisa hadharani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa nimemkubali coz yupo muwazi. Ananyetuka bila shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
China bhana kama ukiwa mroho wa nyama unatakiwa uwemakini sana [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na visanga na madeni ni mfupi mzee wangu.Hahah usiku mrefu huu mkuu.
dodge
Ni muhimu sana kuwa makini unapokula chakula cha kichina. Hakikisha unaagiza kitu unachokijua mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't mind any shit, kila mtu apambane na life lake. Hii mambo ya kufuatiliana life itakufelisha. Uzuri huku kila mtu ana mind business zake. I'm professional so watu ninaokutana nao ni international oriented.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah machine iko ndani ya mfuko wa barafu,nzi mkubwa msafi anadumbukizwa humo then kwa juu inafungwa na kamba umamuacha apambane na na hali yake,baada ya muda matokeo utayaona kiongozi.
Nadhani so far hio ndio the cheapest&effectively invention kwny industry hio mkuu.
dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee umetisha. Jaribu kuweka nyuki kama vp halafu utuletee matokeo inaweza kuwa ni innovation nzuri kuliko nzi.Hahah machine iko ndani ya mfuko wa barafu,nzi mkubwa msafi anadumbukizwa humo then kwa juu inafungwa na kamba umamuacha apambane na na hali yake,baada ya muda matokeo utayaona kiongozi.
Nadhani so far hio ndio the cheapest&effectively invention kwny industry hio mkuu.
dodge
Hahah mambo ya kawaida hayo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa nimemkubali coz yupo muwazi. Ananyetuka bila shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjinga sana huyo eti ingredients zimepungua amekula wa mchangani huku [emoji23][emoji23]Hahah yule jamaa alinishangaza sana tena akawa anasema hii ya huku kama ina ingredients flani zimepungua.
dodge
Niko salama kabisa haliyako
Ww taja hizo 10 days iwe weekend10 days after nazifuata..
Niongezee?
Na handouts anagawa ukafanye practical mwenyewe. Sio mbinafsi teacher. Inawezekana huyu jamaa ndio chair wa chaputa.
That's good ni disminder ww fresh hiyo mbona.I don't mind any shit, kila mtu apambane na life lake. Hii mambo ya kufuatiliana life itakufelisha. Uzuri huku kila mtu ana mind business zake. I'm professional so watu ninaokutana nao ni international oriented.
Sent using Jamii Forums mobile app
nishakaribia[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee umetisha. Jaribu kuweka nyuki kama vp halafu utuletee matokeo inaweza kuwa ni innovation nzuri kuliko nzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4]nimepamiss mno nikasema leo nijikumbushie kukeshaNzuri, nimefurahi kukuona hapa tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh hii meme ni hatari mno kiafya [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee umetisha. Jaribu kuweka nyuki kama vp halafu utuletee matokeo inaweza kuwa ni innovation nzuri kuliko nzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sio fair kwani hiki ndio kipimo cha kazi au kiwango?