JamiiForums Usiku wa manane
Dah unajua nini mkuu mchawi Bikra nawewe mpapachue wako kisawasawa hata akiolewa mkikutana anakutunuku Papuchii
Bibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi

Sent using OPPO Mobile Phone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu zakh M
Ooh acha kabisa tulikuwa tumepanda daladala ya mbagala kuna muhuni anambiwa sogea watu wapande baharia kagoma.

Sasa kuna bi mkubwa anamwambia sogea nawe watu wapande sikampiga kofi bi mkubwa muhimu alikula makofi na abiria wote wa mule ndani uliza sasa kituo wapi zakh m.
 
Back
Top Bottom