Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057


aah nimekunywa sana hommie ingekuwa kilevi saiz nishatinga.

aah nimekunywa sana hommie ingekuwa kilevi saiz nishatinga.Bond upo lindo kimya kimya!
Bado 1 hour lindo lifungwe na mm nimeingia saa 5 humu kwahiyo muda nimeutimiza kamili kabisa.
aah nimekunywa sana hommie ingekuwa kilevi saiz nishatinga.
Member wametepeta. Na sisi ambao usiku ndio unaingia tunaliendeleza libeneke. Karibu wadau wa usiku wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app


uliiba usiku wetu muda wako ulikuwa saa hizi saa 20:09 Kwenu huko masaa yako ya lindo bado maana 4.

partner wako yupo wapi?Pamoja Drizzle tupge kazi
Hahahaaa nilikuwa nawapigisha story. Sasa ni 19:10uliiba usiku wetu muda wako ulikuwa saa hizi saa 20:09 Kwenu huko masaa yako ya lindo bado maana 4.



hilo tembele lina nn hawala asile?

hapana hommie unaweza kuta simu asubuhi ipo kwenye sink kwisha abali yake.Hawala ndio wanasumbua kwa kuchagua vyakula.. Lkn home chochote kinaenda na dua juu..hilo tembele lina nn hawala asile?
Bond upo BBC kumbe huko.Hatimaye jamaa wamejitoa ayseeView attachment 1342837
Hizo shelf zinatakiwa ziishe mzee wangu.Super Villain ndio nimetoka kumchukua store muda huu. Ninakesha nae hadi liamba View attachment 1342841
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushiriki wenu ni muhimu sana katika kuhakikisha hizi chupa zinaishaHizo shelf zinatakiwa ziishe mzee wangu.
Hawala ndio wanasumbua kwa kuchagua vyakula.. Lkn home chochote kinaenda na dua juu..


hapa kweli umenyosha maelezo nilikuwa sielewagi huwa nalionaga hilo neno lakini maana sijui.Hahahaahapana hommie unaweza kuta simu asubuhi ipo kwenye sink kwisha abali yake.