Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Huo mchanganyiko wa Jew's nk..
Huo mchanganyiko wa Jew's nk..
Upo sahihi sana mkuu,hiyo institution ni ngumu sana naiwazia hapa kuingia ila daah......Exactly, ndoa au mahusiano ya kindoa ni very complex phenomenon.
Ukipata watoto ndio complexity ya life inaongezeka mara dufu hata uwe tajiri vipi.
First of all you must know by now you can't satisfy a human being.
Anapopata alichokuwa anakitaka ndivyo anavyo zidi kutaka zaidi.
Bob marley aliimba
Give them an inch, they take a yard
Give them a yard, they take a mile
Nichangie mahali fam.![]()



sawa dude..Maneno mepesi ila mazito mkuuExactly, ndoa au mahusiano ya kindoa ni very complex phenomenon.
Ukipata watoto ndio complexity ya life inaongezeka mara dufu hata uwe tajiri vipi.
First of all you must know by now you can't satisfy a human being.
Anapopata alichokuwa anakitaka ndivyo anavyo zidi kutaka zaidi.
Bob marley aliimba
Give them an inch, they take a yard
Give them a yard, they take a mile
Mkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikanaaah ingekuwa noma na nusu zaidi kama ungelipa mahali na pia umeshaanda gharama za harusi kabisa, huyo bibie hata msimamo kabisa yaan ww ulikuwa caretaker ujue
![]()

ila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.

Nesta alikuwa anaona mbali kumbe
Tatizo la hv viumbe havijawahi kuwa satisfied nakujua wanataka nn nikazi mno.Exactly, ndoa au mahusiano ya kindoa ni very complex phenomenon.
Ukipata watoto ndio complexity ya life inaongezeka mara dufu hata uwe tajiri vipi.
First of all you must know by now you can't satisfy a human being.
Anapopata alichokuwa anakitaka ndivyo anavyo zidi kutaka zaidi.
Bob marley aliimba
Give them an inch, they take a yard
Give them a yard, they take a mile
Niko na juice nimetoa kwenye fridge sasa hv.
Aah leo vuta mpka saa 9 hapo.sawa dude..
Ngoja niwawish nice night in advance
Mkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikanaila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.
Sent using OPPO Mobile Phone


kakosa kotekote saizi anaregret tu huko aliko.Anapauka tu binti wa watu.kakosa kotekote saizi regret tu huko aliko.
Huyo jamaa alikulinda kidogo na kukupunguzia machunguMkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikanaila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.
Sent using OPPO Mobile Phone



kashakuwa bango tena uswailini dah.
Anapauka tu binti wa watu.
Sent using OPPO Mobile Phone
Asante!,nawe pia mkuuWakuu mpumzike kwa amani.
Sent using OPPO Mobile Phone
Bado unamkubali kiainaMkuu acha tu, alikwishafahamika home na siku wazee wanaenda kwao ndio kila kitu kinakuja kujulikanaila kwa bahati nzuri na mwana nae alipiga chini so manzi yupoyupo tu.
Sent using OPPO Mobile Phone


Na kwako pia mwamba.Wakuu mpumzike kwa amani.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ngoma nzito mkuuAah leo vuta mpka saa 9 hapo.
Kwa mechi za kirafiki labdaBado unamkubali kiaina![]()

Hakuna binadamu anaeridhika bro. Ukifanikisha kimoja utatamani zaidi yaani ni mtu aamue tu mwenyewe ila sio nje ya unachoeza mfanyiaNesta alikuwa anaona mbali kumbe Tatizo la hv viumbe havijawahi kuwa satisfied nakujua wanataka nn nikazi mno.
Kwa mechi za kirafiki labda
Sent using OPPO Mobile Phone




