Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kweli maana alikuwa na kinyongo asingekuwa na furaha alafu nachokiona huyo mwana mwengine kaona kuwa naye huyo bibie ni noma kwa hiyo scandal.Huyo jamaa alikulinda kidogo na kukupunguzia machungu


