JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using OPPO Mobile Phone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku kwenyewe pasua vichwa kinoma. Ila ni understanding kuliko wabongo. Pia hawana vizinga vya kiboya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hao watamfaa huyu jombaa. Anajifanya kavu sana na hapendi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa bro em rekebisha mambo kijana aopoe jiko maana bila ya kumsaidia ndugu yetu hatooa
 
Back
Top Bottom