JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaaa mimi muda wowote naangusha.. hili lindo lipo fresh leo.komaa nalo mkuu
Subiri nifike kitaa. Just 5 minutes walk
20200131_170920.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila visanga hutokuwa philosopher na naona hiyo potential unayo... ni brotherhood tu mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli napenda sana hiyo kitu nikipata muda nitasoma wallah kama unabooks embu tuma pm fasta.
 
Raha ya kitu huwa mwanzoni tu pale ndio maana yako..
Exactly, ndoa au mahusiano ya kindoa ni very complex phenomenon.
Ukipata watoto ndio complexity ya life inaongezeka mara dufu hata uwe tajiri vipi.

First of all you must know by now you can't satisfy a human being.
Anapopata alichokuwa anakitaka ndivyo anavyo zidi kutaka zaidi.
Bob marley aliimba
Give them an inch, they take a yard
Give them a yard, they take a mile
 
Bibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using OPPO Mobile Phone
[emoji23][emoji23][emoji23] aah ingekuwa noma na nusu zaidi kama ungelipa mahali na pia umeshaanda gharama za harusi kabisa, huyo bibie hata msimamo kabisa yaan ww ulikuwa caretaker ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom