JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using OPPO Mobile Phone
Pole mkuu ndio life lkn
 
Sasa hao watamfaa huyu jombaa. Anajifanya kavu sana na hapendi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa bro em rekebisha mambo kijana aopoe jiko maana bila ya kumsaidia ndugu yetu hatooa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah kweli mm sitakiwi mema hapa.
 
Back
Top Bottom