Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,122
- 16,194
Mdau niko zamu hivi hospitali hapa naibia ibia kidogo nigonge usingizi, ila soon tu tutajumuika tenaTulia upate kahawa na kashata sasa.
Mdau niko zamu hivi hospitali hapa naibia ibia kidogo nigonge usingizi, ila soon tu tutajumuika tenaTulia upate kahawa na kashata sasa.
[emoji23][emoji23] wanakuona mnyamaaNapita kilasiku kwa wahuni wanavuta bangi hiyo ndio shortcut ya kwenda dukani halafu sasa wana nidelekea tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha na hao wasaudia hawana maajabu wale.[emoji23][emoji23] mkuu mbona unasound kama ndugu zangu wa saudia maana nisije kwenye mnuso wa mchana af umepooza
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna hospital moja niliingia mwaka huu mida kama hii waliokuwa zamu wote wamelala.Mdau niko zamu hivi hospitali hapa naibia ibia kidogo nigonge usingizi, ila soon tu tutajumuika tena
Utakuwa hujanitendea haki. Yaani nipige menyu na mirinda nyeusi bila hata muziki[emoji23][emoji23][emoji23] acha na hao wasaudia hawana maajabu wale.
Nikipita nimewasalimia basi naendelea na mikausho yangu yaan ile fear haipo maana nimekuwa kwenye mitaa pila muda wote linatimba lakini na uboya wangu wote central nilikaa siku moja [emoji23][emoji23][emoji23] mom alinipeleka huko lakini hiyo ni story nyingine kabisa ikaushie tu mzee wangu.[emoji23][emoji23] wanakuona mnyamaa
Utakuwa hujanitendea haki. Yaani nipige menyu na mirinda nyeusi bila hata muziki
Ulizingua wewe.. home watulivu af unataka wapa wakuu pressure. Safi sana japo mimi sijawahi hata kuingia [emoji23]Nikipita nimewasalimia basi naendelea na mikausho yangu yaan ile fear haipo maana nimekuwa kwenye mitaa pila muda wote linatimba lakini na uboya wangu wote central nilikaa siku moja [emoji23][emoji23][emoji23] mom alinipeleka huko lakini hiyo ni story nyingine kabisa ikaushie tu mzee wangu.
Kwaito za kipendwa hatubambiani mkuu.. ni mwendo wa nibebe tu [emoji23][emoji23]Unapenda kubambia dada zangu na wawatu tu we ndio mpango wako huna kingine unachokitaka [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa polisi wanajambisha kinoma ukiingia mule aah utajionea nachokisema.Ulizingua wewe.. home watulivu af unataka wapa wakuu pressure. Safi sana japo mimi sijawahi hata kuingia [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] singeli unaziweza ww achana na hizo mambo za SA.Kwaito za kipendwa hatubambiani mkuu.. ni mwendo wa nibebe tu [emoji23][emoji23]
Kwani imekuwaje mkuu?Why do we fall in love with people we can't have? [emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24]
Vingine ntakufungulia file PM ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa polisi wanajambisha kinoma ukiingia mule aah utajionea nachokisema.
Singeli siziwezi kiukweli ...sijarauka kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23] singeli unaziweza ww achana na hizo mambo za SA.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha hizo bangi ujue.Vingine ntakufungulia file PM ..
Basi club au disco siku hiyo litakuwa limeingiwa na Masai [emoji23][emoji23][emoji23]Singeli siziwezi kiukweli ...sijarauka kiasi hicho
Mwana unapitaga hv hv unatoa salamu alafu unatuachia manyoya leo baki tu.simiss Super Villain mama D chiqutitta Da'Vinci na Rowin nawasalimu wadau wa usiku wa manane.
Amani iwe juu yenu.
Club [emoji23][emoji23][emoji23].. wewe jipange tuBasi club au disco siku hiyo litakuwa limeingiwa na Masai [emoji23][emoji23][emoji23]