NakubaliKaribu lindoni mkuu
Yah nakubaliana na hilo coz naona some changes kibao sasa lakini zitakuwepo bado dunia ya sasa social media tu inaweza ikakupa gal ambaye akawa na true love kwako na pia unaweza usipate pia.True love ipo lakini tunavyozidi kukua ndio inazidi kuwa nadra na ngumu kuipata
No matter what i doThat's love[emoji173][emoji26]
Dah! We acha tu.[emoji15][emoji15] utakutana na ukoko saiz hommie.
Ndio tunaposhindwana na wahuni wangu wa mtahani hapo..Kawaida.. ndio ulivyo na ipo njema tu. Sometimes unakuta ni ngumu kupata watu wa kuendana vibe
Uko poa we mama?01:25hrs
[emoji188][emoji188]
[emoji23][emoji23][emoji23] saiz Asubuhi mbona.Hee kumbe ni usiku wa manane?![emoji44]
True.. mambo mengi ila time ndio hivyo mkuu.Yah nakubaliana na hilo coz naona some changes kibao sasa lakini zitakuwepo bado dunia ya sasa social media tu inaweza ikakupa gal ambaye akawa na true love kwako na pia unaweza usipate pia.
[emoji23][emoji23] tulia tu kuna watu wanauza kashata na kahawa humu unaweza ukatuliza nja pia wapo wata kuhudumia.Dah! We acha tu.
Yani nashtuka najikuta tayari niko ndani ya uzi wa usiku wa manane
Unawamix, mtu wa michezo unashindwaje kujimix na kuchangamka .. unawaacha na maswaliNdio tunaposhindwana na wahuni wangu wa mtahani hapo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbafu ww unataka harusi Jan yote hii mzee wanguTrue.. mambo mengi ila time ndio hivyo mkuu.
Ukiipata ile enyewe usiiachie, nimemiss minuso ya harusi kinyamaa
Kwanza kunisogelea tu wananiogopa [emoji23][emoji23] wanajua mwana mafia huyu.Unawamix, mtu wa michezo unashindwaje kujimix na kuchangamka .. unawaacha na maswali
Tulia upate kahawa na kashata sasa.Dah! Wadau eeh, kama vipi saa 11.
Nimeamka dk 0 lakini najionea taabu tu.
Na hii njaa, ngoja niendelee kuhesabu mbao!
Mbona kavu.. sio siri nimemiss mnuso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbafu ww unataka harusi Jan yote hii mzee wangu
mm nitakuchangia 30k uoe sasa kama umemiss harusi?
[emoji23][emoji23] unanitisha.. em ngoja nikifika mitaa hiyo nikuoneKwanza kunisogelea tu wananiogopa [emoji23][emoji23] wanajua mwana mafia huyu.
Sherehe kula tu maswala ya kucheza mziki kila mtu kwao atacheza huko mbele hapo ndipo napopataka kwenye high table dhambi (misosi) yote zitakuwa hapo.Mbona kavu.. sio siri nimemiss mnuso [emoji23][emoji23][emoji23]
Af ya kwangu ntakaa pale mbele so huez enjoy.. ila huku nyuma ndo kwenye raha zote.usiniangushe bro
Napita kilasiku kwa wahuni wanavuta bangi hiyo ndio shortcut ya kwenda dukani halafu sasa wana nidelekea tu.[emoji23][emoji23] unanitisha.. em ngoja nikifika mitaa hiyo nikuone
[emoji23][emoji23] mkuu mbona unasound kama ndugu zangu wa saudia maana nisije kwenye mnuso wa mchana af umepoozaSherehe kula tu maswala ya kucheza mziki kila mtu kwao atacheza huko mbele hapo ndipo napopataka kwenye high table dhambi (misosi) yote zitakuwa hapo.