Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hommie unazingua huyo nani atakuwa sasa [emoji23][emoji23] umekunywa kawaha leo ya kijiwe nongwa nn?Broderrr. How is wewe
Hommie unazingua huyo nani atakuwa sasa [emoji23][emoji23] umekunywa kawaha leo ya kijiwe nongwa nn?Broderrr. How is wewe
Binafsi naona sielewi ngoja niendelee kukomaa natoNapenda sana Harry Potter huwa sichoki kuangalia kabisa.
Kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]Hommie unazingua huyo nani atakuwa sasa [emoji23][emoji23] umekunywa kawaha leo ya kijiwe nongwa nn?
Unazingua uzielewi? Zina story nzr sana angalia zote ndio utaelewa zaidi sasa ukianzia kazi hutaelewa.Binafsi naona sielewi ngoja niendelee kukomaa nato
Dah unajua nilikuwa na usingizi acha sijui umepotelea wapi leo nilikuwa na movie ya kishamba tu nimelazimika tu kuangalia ndio iliniletea usingizi.Kwa nini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] crush...Why do we fall in love with people we can't have? [emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24]
That what we call it L.O.V.E my dearWhy do we fall in love with people we can't have? [emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24]
Leo nimekaa kindezi sana asee.. ndo nimeingia mida hii hiiDah unajua nilikuwa na usingizi acha sijui umepotelea wapi leo nilikuwa na movie ya kishamba tu nimelazimika tu kuangalia ndio iliniletea usingizi.
Just giv it a tryWhy do we fall in love with people we can't have? [emoji51][emoji51][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24]
Sorta.....[emoji23][emoji23][emoji23] crush...
Ngoja nikuchangamshe mzee.Leo nimekaa kindezi sana asee.. ndo nimeingia mida hii hii
Wewe ni jini.. nitajikuta nimefika saa tisa [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikuchangamshe mzee.
My mum said that too...
[emoji23][emoji23][emoji23] ni mission impossible siumeona kaja kulilia humu mzee wangu..Just giv it a try
[emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi mm ni binadamu bhana siunajua mdomo ni jumba la maneno mm siishiwagi tatizo.Wewe ni jini.. nitajikuta nimefika saa tisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Waluguru na wazaramo ni ndugu moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi mm ni binadamu bhana siunajua mdomo ni jumba la maneno mm siishiwagi tatizo.
Hope is all I got....Just giv it a try
Ila huwa kuna ka ugumu flani kusomeshwa na manzi [emoji23][emoji23] japo kuna wazee wa fursa nao huwa hawaleti maneno mob.ni ndio kazi ianze[emoji23][emoji23][emoji23] ni mission impossible siumeona kaja kulilia humu mzee wangu..