JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sishangai mkuu.. watu type zenu kawaida sana.. sasa mimi mtoto wa katekista anifate nani [emoji23][emoji23]..ukijieka karibu nakupa shajara na misale ya waumini
Secondary ndio zilikuwa sana that time aah nilikuwa braza men baba ako basi ndio gal walikuwa wanavurugikiwa kabisa lakini saiz nipo nipo tu mchafu.
 
Secondary ndio zilikuwa sana that time aah nilikuwa brazamen baba ako basi ndio gal walikuwa wanavurugikiwa kabisa lakini saiz nipo nipo tu mchafu.
[emoji23][emoji23][emoji23] secondary.. uwe na fame tu inatosha. Kuna manzi alinambia true love mwisho form 6 ingawa niliona kama kuna kauongo ndani yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23] secondary.. uwe na fame tu inatosha. Kuna manzi alinambia true love mwisho form 6 ingawa niliona kama kuna kauongo ndani yake
Aliamua kukukatisha tamaa kabisa huyo mchuchu lakini True love ipo kabisa.
 
Back
Top Bottom