Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,580
- 5,795
Sio kesi mkuu[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe tu hata ukitaka nashera..ila utalipia bills
Sent using OPPO Mobile Phone
Sio kesi mkuu[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe tu hata ukitaka nashera..ila utalipia bills
Kwani hayupo Dar? [emoji125][emoji125][emoji125]Ungekuwa upo dar ningekupa hiyo kama gift uchangamshe ubongo kwanza [emoji23][emoji23]View attachment 1337735
Mwaga unga tuone[emoji28][emoji28]mm nawajua watu humu ww acha tu nikituma screen shot ya pm yangu mtakimbia humu wote [emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja mnoShukrani boss.. karibu lindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Kwani hayupo Dar? [emoji125][emoji125][emoji125]
Nisije chomoa betri[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Naam wife.
Aiseeeeee kumbeNaam wife.
Watu wanaoana hapahapa lindoni hata hatupewi kadiAiseeeeee kumbe
Watu na bahati zao! Wengine hatujui hata icon ya PM ilipo...
Tumeoana kitaa, hakuna ndoa ya humu humu, hapa tunaendeleza tu jambo letu.
Mna bahati sanaTumeoana kitaa, hakuna ndoa ya humu humu, hapa tunaendeleza tu jambo letu.
KawaidaMna bahati sana
Kawaida kwako kwetu die miujiza YakheKawaida
Ukiona jambo linakuwa gumu kwako bora kuachana nalo.Kawaida kwako kwetu die miujiza Yakhe
Ngoja nikuonyeshe ilipoWatu na bahati zao! Wengine hatujui hata icon ya PM ilipo...
HongeraTumeoana kitaa, hakuna ndoa ya humu humu, hapa tunaendeleza tu jambo letu.