Poa00:41
Poa00:41
Nilikua namalizia kahawaMlinzi mwaminifu ulikua wapi??
Hahahaaa aiseeeNilikua namalizia kahawa
Karibu
Only football[emoji28][emoji28]unapenda sehemu za hatari hatari, utakuwa mdau wa viburudisho bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Noma na nusu[emoji28]Aisee nimemuona jamaa mmoja mrefu sana saa hivi.Nilikuwa nafunga bombs walisahau kufunga cha ajabu kutizama dirishani Mita kama kumi hivi sikuamini nilichokiona.
Ama kweli usiku una mambo tena makubwa yasiyofikirika yaani kivuli chenye sura ya kubadilikabadilika
Aisee nimemuona jamaa mmoja mrefu sana saa hivi.Nilikuwa nafunga bombs walisahau kufunga cha ajabu kutizama dirishani Mita kama kumi hivi sikuamini nilichokiona.
Ama kweli usiku una mambo tena makubwa yasiyofikirika yaani kivuli chenye sura ya kubadilikabadilika
Kama vile tuko Qnet