Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120

Hahahaha, kipo hulipii kitu kila kitu ni bure, free port
MTC | 101|![]()

Hahahaha, kipo hulipii kitu kila kitu ni bure, free port
MTC | 101|![]()
Sawa
NAJUTA. NILIPATA DEMU NIKAWAACHA HUMU BILA KUWAAGA NIKIJUA NIMEPATA KILETA USINGIZI MORORO. ALICHONIFANYA. DAH NIMELIA USIKU KUCHA.
USIACHE MBACHAO
USITUKANE WAKUNGA
USITEME BIG-Jii

Vyovyote tu mie huwa natamka chikititaHivi chiqutitta hili jina linatamkwa vipi, yaani mtoko wa herufi zake ukoje ?
Mimi bado kiduchu ulimi niutolee kwenye kolomeo/kolomero nilikuwa natamka "Chikwutita"Vyovyote tu mie huwa natamka chikitita
Hahahaha usije jiumiza bure wewe tamka vyovyoteMimi bado kiduchu ulimi niutolee kwenye kolomeo/kolomero nilikuwa natamka "Chikwutita"
Hivi chiqutitta hili jina linatamkwa vipi, yaani mtoko wa herufi zake ukoje ?


kula kwanza mrenda babu ndio utamke haya majina ya watu.Mwangu njoo chemba kwanza.Kumbe bado mnalinda