mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,449
Una utani na nani leo😀😀😀
Una utani na nani leo😀😀😀
ila kitambi jau sana
Hahahaha dahUna utani na nani leo😀😀😀
Niko hapa nimetulia na Hamida wangu ,anawapa hi walinzi wote.
Njoo huku kibandani tuoke moto
MTC | 101|![]()
Nzuri, uje na kikombe chako
MTC | 101|![]()
Habari zenu waungwana
Ndio umekuja kijanja?Salama wangu?
Nenda uzi wa picha chukua mmojaBila mwanamke asubuhi ya Leo Nitakuwa nimeshafariki kwaherini.
Umepotea.. vipi Ile ishu wafanya?Salama wangu?
Hapana nataka nichat nae tu wanawake ni dawa Kama amodiakwin hakika asipokuja hata mmoja nitakufa usiku huu na msije toa rip zenu wakina dada .Nenda uzi wa picha chukua mmoja
Yaaap nenda muite mmoja huku uchati nae hadi pakucheHapana nataka nichat nae tu wanawake ni dawa Kama amodiakwin hakika asipokuja hata mmoja nitakufa usiku huu na msije toa rip zenu wakina dada .