Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Nipo...nimebanwa.
Muhusika anajua.
Muhusika anajua.
Umepotea.. vipi Ile ishu wafanya?
Umepotea.. vipi Ile ishu wafanya?
[emoji23][emoji23][emoji23] kesho usije kulia ww nakuonea huruma babu.Niko hapa nimetulia na Hamida wangu ,anawapa hi walinzi wote.
Mimi ule mtaa labda after two weeks ndio nitarudi. Nauli ni kikwazo mno..salimia wanifahamioNipo...nimebanwa.
Muhusika anajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu mabilionea hawa hivyo vitu sasa [emoji23][emoji23]
Njema hommie.Habari zenu waungwana
Kufa tena! [emoji33]Jamani Kama Kuna mwanamke Yuko macho muda huu aje nitakufa bila yeye Niko serious.
Ngojs nikuitie miss mtianaBila mwanamke asubuhi ya Leo Nitakuwa nimeshafariki kwaherini.
Frsh dude [emoji109]Napita tu kuwasalimia ndugu zangu wa lindo.
I'm good buddyNjema hommie.
Mimi ule mtaa labda after two weeks ndio nitarudi. Nauli ni kikwazo mno..salimia wanifahamio
That's good.I'm good buddy
Naumia nakufaAlikuwepo, hukukutana Naye?
Akija tena nitakutafuta uje kumsalimia.
Hahahaha, kipo hulipii kitu kila kitu ni bure, free portKinywaji kipo? Au nacho utasema nalipia?