Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Poa baadae mida ya wangaNafunga geti
Funguo za getini unazo?
MbatataUkipatwa na Ukeke nishtue
Mungu ni mwema mwaka umeanza vemaNipo sana tuu,majukumu yameshika hatamu....Heri ya mwaka mpyaaaaaa. popoooooooooooooooZ wote,Kwa kweli Nawamiss sana,tena Sanaaaaa Tu.
Itabidi baadae uniambie hizo races ni za aina ganRaces zipo humu.. babu mlinzi anakusubiri![]()

Utaniambia baadar kama ulimpataKuna mtu namlia timing hapa akiingia kwenye anga zangu ninae. Subiri uone mrembo.
Unalinda saizi?Utaniambia baadar kama ulimpata
Ndo maana nikasema baadaeUnalinda saizi?

Mnachokifanya ni Uhaini.. U have to be condemned to death.
Kesi yenu itasomwa saa 6 usiku