Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,138
kwenda kurudi unaweza kuta nikipande cha kutoka ubungo mpaka shekilango
![]()



nimecheka kizembe..uwiii ongeza ongeza kidogoSent using Jamii Forums mobile app
kwenda kurudi unaweza kuta nikipande cha kutoka ubungo mpaka shekilango
![]()



nimecheka kizembe..uwiii ongeza ongeza kidogoHahahhahaha mkuu mimi sina wa ubavu, nimechagua kujipa raha mwenyeweukiona hali mbaya. Lala tu maana lindo lina watu wengi au kuna mtu unamngoja
Kesho nistue lindo mapema sio kunikimbia hatupeani habari
Duuh! umejitoa, ana wake wa 4 na bado anatamani kuongeza dini ndio haimruhusu
Pole sana mkuuI can't sleep,stress,jamanii how to handle break up,am in too much pain


majirani lazima waamke huko.Usijali ..ila ukae na simu karibu .Kesho nistue lindo mapema sio kunikimbia hatupeani habari
Aaah kwani hujui ww umeshapiga chako cha mkwesi saiz ndio unaonekana hapa![]()



brother kesho j2. Unanishuhudia uongoWanalalaje mapema weekend hii yote wataamshwa kwakicheko sasa.
Kujipa raha mwenyewe kuna maana nyingi. Hii lugha ina mushkeli mkuuHahahhahaha mkuu mimi sina wa ubavu, nimechagua kujipa raha mwenyewe


.. em clarify kidogoAaah ww ndio muongo sasa loh kesho ni juma3brother kesho j2. Unanishuhudia uongo

alichokupa huyo nani mwambie asikupe tena.Sijambo.. dada Mishil alinikataza nsikusalimie

hata Mimi sitaki unisalimie unanizeesha.Ur missedIm here dearest![]()
Nakusaka sana mrembo,kumbe upo ?! Inapendeza sana.Ur missed
Unajua koo zetu kanda ya ziwa sio nzuri. Unaweza pigwa radi kesho mchana kweupeeAaah ww ndio muongo sasa loh kesho ni juma3alichokupa huyo nani mwambie asikupe tena.



Majirani zangu hawanaga habari na mambo ya wengine..kwahiyo hata nicheke vipi hawa-mind wanaendelea kujilalia zao.Wanalalaje mapema weekend hii yote wataamshwa kwakicheko sasa.