JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hata mimi sijaona kwa humu ndani....
I was thinking out loud.
Ila unafaa kuwa mpatanishi...imejionyesha kwa kweli
Im not good at it. The only thing nko njema ni kusema ahsante na samahani. Kuna mtu alinambia hizo tiny words huleta impact kubwa katika life na ninavyokua zaidi naelewa zaidi. Only that
 
Bila kusahau tafadhali.
Ubarikiwe sana...sio rahisi kujua ulichobarikiwa Bali wa nje ndio wanaoziona hizo Baraka zako.
Im not good at it. The only thing nko njema ni kusema ahsante na samahani. Kuna mtu alinambia hizo tiny words huleta impact kubwa katika life na ninavyokua zaidi naelewa zaidi. Only that
 
Back
Top Bottom