JamiiForums Usiku wa manane
Attention
Waheshimiwa Walinzi kuna wenzetu humu wamekeuka sheria na masherti tuliyojiwekea hapa. Wamekuja lindoni kupiga kelele muda ukiwa bado haujatimia.
Katiba yetu katika kile kifungu cha 3b inasema "Ni kosa la jinai kwa mlinzi kuja kuleta fujo lindoni wakati lindo limefungwa bado halijafunguliwa"
High table bado wanatafakari adhabu zitakazo wafaa kutokana na kosa hilo
Adhabu yann ss
 
Nipo nyuma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom