Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Tupo 30 mpaka ssNahesabu idadi ya walinzi walio hudhuria mpaka muda huu.
Tupo 30 mpaka ssNahesabu idadi ya walinzi walio hudhuria mpaka muda huu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuzeesha kweli ila dada huyo aliyekaa kwenye avatar ni wewe
Mguu ndani mguu nje ww nae unazurura tu sikuoniNakusaka sana mrembo,kumbe upo ?! Inapendeza sana.
[emoji23][emoji23] si Mimi eti.[emoji23][emoji23][emoji23] nakuzeesha kweli ila dada huyo aliyekaa kwenye avatar ni wewe
Missed ya more ... weekend inakutreat niajeUr missed
Unajua koo zetu kanda ya ziwa sio nzuri. Unaweza pigwa radi kesho mchana kweupee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mauzauza tu sijapata brocoli wala salad[emoji6]Missed ya more ... weekend inakutreat niaje
Ila mnaendana endana ehh maana Super Villain alisemaga anapenda vitu vikubwa vikubwa
Hao bilashaka watakuwa majirani wa masaki au mikocheni.Majirani zangu hawanaga habari na mambo ya wengine..kwahiyo hata nicheke vipi hawa-mind wanaendelea kujilalia zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] brother.. unawajua mabrother wa kikatholiki. Nipo peramiho songea nasubiria upadrishoLakini leo naona umechelewa sema ndio hutaki kusema ukweli tu chamkwesi kimekuchangamsha sana leo mapka saiz huna usingizi kabisa.
Kweli ww vegeterian.. wengine weekend wanawaza gambe na nyamaMauzauza tu sijapata brocoli wala salad[emoji6]
Si hadi ww alipagawa ulivyosema una nyama za kibantu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nani anapenda nn uiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majirani wa kisemvule hawaHao bilashaka watakuwa majirani wa masaki au mikocheni.
Hapana hatuendani hata kidogo mdogo wanguIla mnaendana endana ehh maana Super Villain alisemaga anapenda vitu vikubwa vikubwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaona.Tupo 30 mpaka ss
Mguu ndani mguu nje ww nae unazurura tu sikuoni
Acha mikwaraKuna mtu namlia timing hapa akiingia kwenye anga zangu ninae. Subiri uone mrembo.