Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Hivi best series ya The Witcher umeiona?Ni kweli asee. Ndio maana walishinda vita vya majimaji ajili ya siraha hizo
Shabaaa nyingi mkuu,[emoji23][emoji23] unatakiwa uwesniper sana kutumia hiyo dhana.
Kiukweli sijaifuatilia. Ila naona kwenye magroup ya facebook wanaisifia mno..Hivi best series ya The Witcher umeiona?
Ni nzuri?
Fanya hivyo sasa yasikukute yote hayo piga cha kahawa au drip 3 utaamua mwenyewe sasa hapo.
Sawa gobole risasi inauma illa aiseehh panga lipite shingoni au mkuki ahhh wacha banaNiulize mimi ambae lisasi ya gobole ilinichuna ubavu ikapiga mguu wa babu yangu. Najua uchungu wa risasi..Tena risasi ilikua kipande cha nondo
Naona unanivizia mpendwa
Hivi shughuli ya kuamka kwenda toi unaijua au unafanya masihara?Fanya hivyo sasa yasikukute yote hayo piga cha kahawa au drip 3 utaamua mwenyewe sasa hapo.
Naujumbe wako hapa [emoji116]Shabaaa nyingi mkuu,
Hahahaha hata sikuvizimii Mimi..naona tu unavyojimwayamwayaNaona unanivizia mpendwa
Ushawahi kukatwa na panga ila risasi haijakupita hata kandoo yako. Jaribu kwanza vyote hafu ndio ufanye contrastSawa gobole risasi inauma illa aiseehh panga lipite shingoni au mkuki ahhh wacha bana
[emoji23]hata sijui mm nmetaja tuKihonda kwa chambo?
Poa vp
Tutakua hatu save mpunga/mapene/pesa sasa, tutaishia kuwa masikini kama tukiishi kama huo msemo"Live everyday like its the last."
Sent using simu mbovu
[emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie choo chako ni chanje ww [emoji91][emoji91]