Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Unapepo ww [emoji51][emoji23]hata sijui mm nmetaja tu
Unapepo ww [emoji51][emoji23]hata sijui mm nmetaja tu
Hahahahaha chizi wewe, yani nitafute gobole nijaribu kujifyatulia ili nijue maumivuUshawahi kukatwa na panga ila risasi haijakupita hata kandoo yako. Jaribu kwanza vyote hafu ndio ufanye contrast
[emoji23][emoji23] tunakufa wote JF humu maana ndio nipo eneo hili kama unalipua fresh kimasomaso nishajitoa sijui wana.[emoji19][emoji19][emoji19]nitakupiga bomu
Nimeangalia ep 1 hata sijaimaliza naona imepoa sana labda nitaangalia tena kichwa kikitulia.Kiukweli sijaifuatilia. Ila naona kwenye magroup ya facebook wanaisifia mno..
Itakua ni nzuri maana ndio habari ya mjini pamoja na see
Ndio, mimi mke wa Pili wa ZurriNi mume wako?
Hahahaha naona umelenga ila bado mboga haijaanguka hahahaha huyo akikurudia hutoboi msituNaujumbe wako hapa [emoji116]View attachment 1320275
Ndio. Sometimes sumu ya panya huonjwa ili kupima ukaliHahahahaha chizi wewe, yani nitafute gobole nijaribu kujifyatulia ili nijue maumivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cha nje ndiyo..can you imagine huu mtihani niliokuwa nao..niwacheee sinywi maji mie[emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie choo chako ni chanje ww [emoji91][emoji91]
Wakati naangalia GoT nilianza kusema hvo. Ila mpaka sasa nishakua teja.. endelea kuicheki.Nimeangalia ep 1 hata sijaimaliza naona imepoa sana labda nitaangalia tena kichwa kikitulia.
HahahahaNdio. Sometimes sumu ya panya huonjwa ili kupima ukali
[emoji23][emoji23][emoji23] balaa lake sio poa ni moja na nusu.Hahahaha naona umelenga ila bado mboga haijaanguka hahahaha huyo akikurudia hutoboi msitu
Duuh! umejitoa, ana wake wa 4 na bado anatamani kuongeza dini ndio haimruhusuNdio, mimi mke wa Pili wa Zurri
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiona hali mbaya. Lala tu maana lindo lina watu wengi au kuna mtu unamngojaUsingizi wajame unaninyemelea
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenda kurudi unaweza kuta nikipande cha kutoka ubungo mpaka shekilango [emoji23] unakuwa umetembea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Cha nje ndiyo..can you imagine huu mtihani niliokuwa nao..niwacheee sinywi maji mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah kwani hujui ww umeshapiga chako cha mkwesi saiz ndio unaonekana hapa [emoji23]Najilia nini mzee [emoji23][emoji23][emoji23]