JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Zamani hakuna wimbo wa joh ambao nilikua siujui kuimba ila now hata simtaki. Anaimba upuuzi tu..
Unaikumbuka ngoma yake ya Hao? Kuna line moja jamaa aliwachana waandaaji wa tunzo za muzik hapa bongo wakat ule Kill Music, walikuwa wanachanganya tunzo za music wa kidunia pamoja na za kumsifu Mungu...

Kipindi hicho Rose Mhando yupo kwenye peak...
 
Kasome Hosea 4:6

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa faida ya wote.. Ahsante nimejikuta napenda hili andiko ndio maana nimenukuu mistari mingi..

4 Walakini asishindane mtu, wala mtu asikemee; maana watu wako ni kama wao washindanao na kuhani.
5 Na wewe utajikwaa wakati wa mchana, na nabii naye atajikwaa pamoja nawe wakati wa usiku; nami nitamwangamiza mama yako.
6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
7 Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri iyo hiyo walinitenda dhambi; nami nitageuza utukufu wao kuwa aibu.
8 Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu wao.
 
Nina elements za kizee mimi.. nyie vijana hamtuelewi sisi.
Eg. Niko nasikiliza King kiki _ kitambaa cheupe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezaliwa hizo ngoma hakuna nimewakuta kina piddy, 2pac, dre & Nas hao nitavibe nao vp nikiingia ghetto la mabro nakuta stika za hao watu tu nangoma zao zinapigwa tu..
 
Back
Top Bottom