Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,439
- 110,062
Zamani hakuna wimbo wa joh ambao nilikua siujui kuimba ila now hata simtaki. Anaimba upuuzi tu..Nitiba hata stress zinauwa katiba ingekuwa music wengi wangeijua.
Zamani hakuna wimbo wa joh ambao nilikua siujui kuimba ila now hata simtaki. Anaimba upuuzi tu..Nitiba hata stress zinauwa katiba ingekuwa music wengi wangeijua.
Atakuta nimesha muandalia kuku mchesho hapa nyumbani..tehWeka na bill ya supu kabisa.
Music ni feelings tu basi mm huwa nawashangaa wanaopenda bolingo [emoji38][emoji38][emoji38]Nimegundua mm napenda nyimbo zoote duniani.. hadi Qaswida hua nasikiliza mm.
Ninesoma soma mambo ya muziki kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23] wakufungulia mwaka.
Mungu akufamyie wepesi, na usije angamia kwa kukosa maarifaNdio maana nimeuliza nyie watu wazima
Game imebadilika flow sio konk kama zazamani kuna ilengoma inaitwa pea sio mchezo.Zamani hakuna wimbo wa joh ambao nilikua siujui kuimba ila now hata simtaki. Anaimba upuuzi tu..
Yeaaah..Music ni feelings tu basi mm huwa nawashangaa wanaopenda bolingo [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji4][emoji4] aah wapi mm sio mjinga hivyo utakuwa uliona mahali nikisema.
Lengo langu, nifungue mwaka na yeye....teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakufungulia mwaka.
Ahsante. Ila hujanionyesha kama ni mbaya au lah
Sio rahisi hivyo kunamahali aliona tu.
Not even me?Kwahiyo bado dk 7 wafunge laini..
Anyway I got nothing to lose
[emoji23][emoji23][emoji23] kuwa makini mzee.
Aah mm hile miondoko imenishinda mzee [emoji38][emoji38][emoji38] lumba siwezi kabisa.Yeaaah..
Ningekua naweza kila weekend ningekua naenda live band nikasikilize midundo ya ngoma..
I said I've nothing to lose