Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Upi huo.






Mzee mwenzangu unanidhalilisha mbele ya. Kijana wetu
Uwe unaamkia humu watu lindoniUnatafuta pakunikamatia hapo unipati mzee
This is blasphemyMpe shikamoo yake kwanza
AahUnaitwa salama nimeusearch google toka asubuhi nmekuja kupata saa nne hii kwa kutumiwa na mtu .
Sent using Jamii Forums mobile app


masihara haya unaleta we mwanamke?Aah wapi sis wangu ana 30+ siamkii hakuna wakuamkia humu.Uwe unaamkia humu watu lindoni
Aahmasihara haya unaleta we mwanamke?
Masaa yote hayo?
Dharau haina adabu...Aah wapi sis wangu ana 30+ siamkii hakuna wakuamkia humu.
utipie hapa tuusikie mie pia nyimbo za Congo ni moja ya ulevi wangu japo napenda miziki mingi sana
Kila nikiusearch napelekwa kwny Ads nikaandika status hakuna anayeujua
Sent using Jamii Forums mobile app


sipendagi mm uko busy kutafuta kitu unakuta unapelekwa kwenye AdsMasaa yote hayo?
Nimekulia maisha hayo monie, afternoon and evening basi.Dharau haina adabu...