Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,561
The guy he was real.. Real ladUnaikumbuka ngoma yake ya Hao? Kuna line moja jamaa aliwachana waandaaji wa tunzo za muzik hapa bongo wakat ule Kill Music, walikuwa wanachanganya tunzo za music wa kidunia pamoja na za kumsifu Mungu...
Kipindi hicho Rose Mhando yupo kwenye peak...
Sijui kimempata nini..au ndio anaimba Commercial..



