JamiiForums Usiku wa manane
Basi kuna taarabu hapa nasikiliza zinanikumbusha kipindi cha udogo tulikua tunaziimba tukiwa tunacheza harusi za kibaba mama
Kuna mtu simkumbuki lakini alisema Music has no language.
Nandio maana kuna mtu anapenda nyimbo ya kihindi lakini haelewi kinachoimbwa lakini anafeelings nayo tu.
 
Back
Top Bottom