JamiiForums Usiku wa manane
Dah yaan unakulia mjini wengine hata kilugha cha kwetu hatujui ni kisanga kweli kweli.
Jamii zinabadilika sana.Zamani wengi walukua wakioana ndani ya kabila moja hivyo wazazi wanajikuta wanaongea kilugha na mwishowe watoto wanajifunza kupitia wazazi.

Siku hizi tunachanganyika sana na pia kuna wanaodhani kuzungumza kilugha ni ushamba .
 
Ndio tunapoteza tamaduni hivyo wazee wanapungua ss hatujui hizo lugha kizazi kijacho sijui itakuaje.

Back
Top Bottom