Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Kwanini mapema leo?Acha na mm nilale zangu.
Kwanini mapema leo?Acha na mm nilale zangu.
Then we don't share the same time zone, au unalala mchana?😀
Ahaa, poa.
Then we don't share the same time zone, au unalala mchana?![]()
Ahaa, poa.
Nikajua ni kama wale wanaokunywa kahawa bahati mbaya.
Mzima lakini?



Nipo .....
Ugua pole mkuu...Ukweli sijaenda toka siku ya mkesha kutokana na afya..
Mungu ni mwema, huku yote ni kheri.
Uzi unakimbia sana huu,siku mbili hizi.
Tukalale?
Kazana ukimbie nao
Ndio maana nimekufata humu nikuchukue usingizi wangu.
Tuondoke tuwaache wajane wenyewe walinde humu.
Sioni hayo masaa 7 yanafikaje ndio maana nikauliza.Kazini mchana...