Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Ego & self esteem ni tatizo
[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe na ww ulishanote hiko kitu.
[emoji38][emoji38][emoji38] kumbe na ww ulishanote hiko kitu.
Hilo tatizo sio lako pekeyako mzee [emoji38][emoji38]True.. Nitakaa sawa ila nitakuwa nakuja humu kama kawaida maana ni popo pasee
Sent using Jamii Forums mobile app
We ungeweza kuvumilia matusi?
Hakuna tatizo Kiongozi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha uwogo we mwanamke matusi huyajui ww.Hata siyajui...nawezaje kuyavumilia
Kwahiyo unapendekeza tutoe somo la life skills bibie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ego & self esteem ni tatizo
Ukizoea levels unaziona za kawaida. Wanaofake wengi ni wale wanaowish kupata hiyo life
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuiga ni shida kiukweli. Utajaribu kufit in tuKama hauna ndio unatakiwa upambane sasa iliuwenacho ukiiga utapoteza muda na hela zako tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] af hommie nilikuwa nimeshaagaHilo tatizo sio lako pekeyako mzee [emoji38][emoji38]
Kuiga sio kitu kibaya lakini kama utaiga kzr ambacho kinafaida kwako.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha uwogo we mwanamke matusi huyajui ww.
[emoji38][emoji38][emoji38] kawaida haya mambo dude.
Kwahiyo unapendekeza tutoe somo la life skills bibie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
"Wanna be" ni bonge la tusi na Dsm watu wanafanya issue za ajabu ili waende na trends. Trends ambazo hazidumu hata mwakaVery true.
"Wanna be"
Umesema hutovumilia sasa unawezaje kujua kama hili nitusi sasa [emoji38][emoji38][emoji38]Kweli siyajui.....
[emoji6][emoji6][emoji6]
Aah vibaya hivyo unafanya ujue.Hapana....kila mtu atajifunza kivyake
Unaweza fake ili mishe ziende ila kutengeneza image ili ukubalike na class flani ni kisanga budaaKuiga sio kitu kibaya lakini kama utaiga kzr ambacho kinafaida kwako.
Sio poa. Nitatoweka kama Nsyuka, subiri hahaaaa[emoji38][emoji38][emoji38] kawaida haya mambo dude.
Tutakujuaje sasa kama usipotufanyia vitu vya ajabu treands kuna baadhi ya watu wanazipenda Sana."Wanna be" ni bonge la tusi na Dsm watu wanafanya issue za ajabu ili waende na trends. Trends ambazo hazidumu hata mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app